Tuko tayari kumuua tena 'Mnyama' - Prisons

Wachezaji wa Prisons wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza, ambapo Prisons ilishinda 2-1

Timu ya Prisons "Wajelajela" ya jijini Mbeya imesema iko tayari kwa ajili ya mechi dhidi ya Simba, itakayopigwa kesho JUmamosi katika dimba la Taifa dar es Salaam

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS