Mwamuzi Simba na Yanga awekwa hadharani Mathew Akrama Kamati ya Waamuzi imemtangaza rasmi Mathew Akrama kutoka Mwanza kuwa mwamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga, siku ya Jumamosi Jumamosi Februari 25. Read more about Mwamuzi Simba na Yanga awekwa hadharani