Fid Q amaliza utata kati yake na Joh Makini

Fid Q (Kushoto), Joh Makini (kulia)

Msanii Fid Q amesema anashangazwa na baadhi ya watu wanaomuandika vibaya katika mitandao ya kijamii kuwa ana 'bifu' na Joh Makini kutoka Weusi hali ya kwamba hawana tofauti yoyote baina yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS