Daisy Korir - Mhazini wa KMPDU, akizungumza na wanahabari baada ya kutoka gerezani
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamuru kuachiliwa huru mara moja kwa viongozi wa chama cha wauguzi na madaktari nchini humo waliohukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela .