Nay wa Mitego kujenga kanisa Nay wa Mitego Msanii wa muziki Nay wa Mitego amesema kuwa ana mpango wa kumiliki kanisa siku za usoni kwa kuwa anaamini kwa sasa dini ndiyo biashara inayolipa zaidi ndani ya nchi na Afrika kwa ujumla. Read more about Nay wa Mitego kujenga kanisa