Nay wa Mitego atangaza hali ya hatari Nay wa Mitego akiwa Kikaangoni Rapa Nay wa Mitego ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa mapenzi 'Sijiwezi' amefunguka na kusema kesho Alhamisi, Februari 16 anaachia kazi ambayo itakuja kuleta shida nyingine mjini. Read more about Nay wa Mitego atangaza hali ya hatari