One The Incredible ataja watano anaowakubali
Rapa One The Incredible ambaye hivi sasa anatamba na wimbo wake mpya 'My City' amefunguka na kutaja wasanii watano wa rap anaowakubali zaidi na kusema namba moja yake mara nyingi inapiganiwa na wasanii wawili.