Mchezaji wa Yanga na Taifa Stars afariki dunia
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Prisons na Taifa Stars, Geofrey Bonny 'Ndanje' (37), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jijini Mbeya alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya kifua kikuu