Bosi wa Shirika la Elimu Kibaha atumbuliwa
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha Dkt. Crispin Mpemba ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma za kiutendaji zinazomkabili ikiwemo uendeshaji wa shirika hilo