Kigwangalla ashindwa kujizuia kwa Diamond
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambaye pia ni mwanaharakati wa masuala ya vijana, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshindwa kujizuia na kufunguka jinsi anavyomuhusudu mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.