Okwi akabidhiwa mikoba Uganda The Cranes

Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa Sports Club Villa Jogoo Emmanuel Arnold Okwi ataiongoza timu ya Taifa ya Uganda Cranes (kwa wachezaji wa ndani) kwenye mchezo wa ziara ya kimkoa dhidi ya timu ya mkoa wa Mashariki Jumapili hii nchini Uganda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS