Hans atua Singida United Aliyekuwa Kocha na Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga SC, Hans Van Der Pluijm amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha klabu ya Singida United Read more about Hans atua Singida United