Namthamini yawasitiri wanafunzi 673 mwaka mzima
Kampuni ya East Africa Television Limited kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA) imefanikiwa kuwasitiri wanafunzi 673 kwa kuwapatia pedi za kujisitiri kipindi cha hedhi kupitia kampeni ya 'Namthamini'.
