Prof Jay ajisafisha kwa Afande Sele, Alikiba Prof Jay (kulia) akiwa na Afande Sele Mkongwe wa hip hop bongo, Joseph Haule ' Prof Jay' amekanusha kuwa 'disi' wasanii wenzake akiwepo Alikiba pamoja na Afande Sele kwenye wimbo wake mpya wa 'Kibabe'. Read more about Prof Jay ajisafisha kwa Afande Sele, Alikiba