Je, Mwadui kuendeleza uteja kwa Azam?

Azam na Mwadui

Azam FC, leo inashuka tena dimbani kuvaana na Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam saa 1.00 usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS