Niko tayari kufukuzwa CCM - Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu ameibuka na kuweka wazi kuwa yuko tayari kufukuzwa ndani ya chama chake cha CCM kwa kupinga uhalali wa elimu ya Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam. Read more about Niko tayari kufukuzwa CCM - Elibariki Kingu