Balozi akoleza ushindi wa Azam dhidi ya Mbabane

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini akiwa na ikosi cha Azam

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mh. Richard Lupembe, ameipa mkono wa ushindi Azam FC kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Mbabane Swallows ya Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS