Wanaowania ubunge EALA kupitia CCM, hawa hapa Humphrey Polepole Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Itikadi an Uenezi wa chama hicho ndugu Humphrey Polepole, leo kimetangaza majina ya wagombea 12 watakaowania nafasi 6 za ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki. Read more about Wanaowania ubunge EALA kupitia CCM, hawa hapa