AUDIO: FIFA yairejesha Mali Kimataifa
Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 cha Tanzania Serengeti Boys kitaumana na wenzao wa Mali katika mchezo wa kwanza wa michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo itakayofanyika nchini Gabon mwezi Mei

