Zillah ajitangaza mfalme wa Freestyle Bongo King Zillah Rapa Golden Jacob alimaarufu kama King Zillah kutoka Salasala amejitangaza rasmi kuwa yeye ni mfalme wa Freestyle bongo na kusema jambo hilo halina ubishi wowote ule Read more about Zillah ajitangaza mfalme wa Freestyle Bongo