Wasanii wa singeli hawana ubunifu - Msaga Sumu Msaga Sumu Wasanii wa nyimbo za Singeli wamelalamikiwa kwa kukosa ubunifu katika kazi zao ndiyo maana mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyeweza kuachia 'ngoma' mpya kwa kuwa wote wanategeana. Read more about Wasanii wa singeli hawana ubunifu - Msaga Sumu