Barnaba atia 'gospel' kwenye albam yake
Msanii wa bongo fleva Barnaba Classic ameeleza nia yake ya kuja na albam yake ya nyimbo nane na jinsi ya usambazaji wake utakavyokuwa tofauti na ule watu wengi waliouzoea, huku akiweka pia wimbo wa dini kwenye albam hiyo.