Mvua yasababisha maafa, yaharibu taasisi tano
Mvua iliyoambatana na upepo wa kimbunga, umesababisha majanga kwa wakazi wa kijiji cha Mtera wilayani Mpwapwa mkoa wa Dodoma, baada ya nyumba 93 na taasisi tano kuharibiwa zikiwamo shule mbili na kanisa.