Kaseja mchezaji wa bora mwezi Januari Juma Kaseja - Kipa wa Kagera Sugar Golikipa wa timu ya Kagera Sugar, Juma Kaseja Juma amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mwezi Januari kwa msimu wa 2016/2017. Read more about Kaseja mchezaji wa bora mwezi Januari