Simba haichomoki Jumamosi - Salum Mkemi
Tambo zimeendelea kuvuma kuelekea mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumamosi, ambapo leo hii Mjumbe wa kamati ya mashindano ya Yanga SC , Salum Mkemi amesema siku hiyo Simba hawachomoki, na ni lazima wafungwe.