Nay wa Mitego ahofia usalama wa maisha yake

nay wa Mitego

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na wimbo wa  'Wapo'  uliojipatia umaarufu mkubwa hadi serikalini amedai kuwa usalama wa maisha yake upo hatarini na kwamba kuna watu wanaopanga kumpoteza ili asiwepo duniani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS