Mbowe atangaza mapambano dhidi ya dola
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe amefunguka na kusema kuwa anahitaji nchi irejee katika misingi ya utawala wa katiba, sheria na utaratibu.