Rais Jacob Zuma afikiria kujiuzulu nafasi yake
Nchini Afrika Kusini mgogoro ndani ya chama tawala cha African Nationa Congress, ANC, unazidi kutokota hatua inayomfanya Rais Jacob Zuma kufikiria uwezekano wa kujiuzulu mwakani ikiwa ni takriban miezi 12 kabla ya muda wake kumalizika madarakani,

