VIDEO: Vanessa Mdee kuendelea kusota lupango

Vanessa Mdee

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kumshikilia msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee a.k.a Vee Money kwa tuhuma za kuhusika na matumizi ya dawa za kulevya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS