VIDEO: Bei ya nyanya Dar yazidi kutisha
Bei ya nyanya katika masoko mbalimbali Jijini Dar es Salaam imepanda kilinganishwa na hali ilivyokuwa wiki mbili zilizopita ambapo kwa sasa bei ya jumla imepanda kutoka shilingi elfu 35 kwa sanduku na kufikia shilingi elfu 60.