VIDEO: Nimeanza kusumbuliwa na mabinti - Harmorapa Harmorapa Rapa anayechipukia kwenye muziki wa hip hop, Harmorapa amefunguka na kusema toka amepata jina amekuwa akipata usumbufu sana kutoka kwa watu wake wa kawaida pamoja na mabinti. Read more about VIDEO: Nimeanza kusumbuliwa na mabinti - Harmorapa