JPM aongoza kikao cha Kamati ya Maadili CCM

Rais Magufuli akiongoza kikao hicho

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS