Wametua leo Wapinzani wa Yanga SC katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, timu ya Zanaco FC kutoka Zambia tayari wamewasili leo saa 10:30 jioni tayari kwa mchezo wao utakaopigwa Jumamosi hii katika dimba la Taifa Dar es Salaam Read more about Wametua leo