Ndalichako atoa mwezi mmoja
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi wa Watumishi Housing Dkt. Fred Msemwa kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa nyumba 35 za walimu ambazo kampuni hiyo imetakiwa kuzijenga.