Robinho aijibu mahakama ya Italia

Baada ya kuhukumiwa miaka tisa jela na mahakama ya Italia kwa kosa la ubakaji, mchezaji wa soka wa Brazil, Robinho amesema hakubaliani na hukumu hiyo kwani hakusika na tukio hilo kama ilivyoelezwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS