Gari la harusi lasababisha vifo vya watu 10 Watu 10 wamefariki na wengine 24 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace, kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Noah katika eneo la Ihuka wilayani Ikungi Mkoani Singida. Read more about Gari la harusi lasababisha vifo vya watu 10