Yanga yashindwa kuitoa Simba Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga SC wameshindwa kutinga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Read more about Yanga yashindwa kuitoa Simba