Familia ya Ndikumana yaamua juu ya mtoto
Familia ya marehemu Ndikumana ambaye alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tanzania, Irene Uwoya, imesema iko tayari kumsaidia mtoto wao aliyeachwa na marehemu Hamadi Ndikumana, Krish Ndikumana, ili kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa mcheza soka maarufu