Yanga yanasa kifaa kipya Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsajili beki wa kati Fiston 'Festo' Kayembe Kanku kutoka kwenye klabu ya Balende FC ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Read more about Yanga yanasa kifaa kipya