Mavazi ya Polisi yatuhumiwa na uhalifu

Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Benson Kigaila amedai kwamba anataarifa Chama Cha Mapinduzi kimechukua polisi na kuwavalisha mavazi ya CCM, huku vijana wa chama hicho wakivalishwa magwanda ya polisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS