Rambo auawa na wananchi wenye hasira kali Mtuhumiwa wa ujambazi anayedaiwa kuteka magari na kunyang'anya mali za watu wanaotumia barabara ya Kisili - Buhigwe mkoani Kigoma maarufu kwa jina la ‘Rambo’ ameuawa. Read more about Rambo auawa na wananchi wenye hasira kali