Wanyama afunguka tetesi za kwenda Liverpool Kiungo wa klabu ya Tottenham na timu ya taifa ya Kenya Victor Wanyama amesema tetesi zilizopo kuwa msimu ujao huenda akaonekana kwenye uzi wa klabu ya Liverpool si za kweli. Read more about Wanyama afunguka tetesi za kwenda Liverpool