Mama auwa mtoto kwa kumkaba Polisi Kirinyaga nchini Kenya wamemkamata Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumkaba shingoni mtoto wake wa miaka 5 na kisha kumtupa katika mto Rutui. Read more about Mama auwa mtoto kwa kumkaba