Hazard aitabiria England kwenye Kombe la Dunia
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na klabu ya Chelsea, Eden Hazard ametabiri kuwa timu ya Taifa ya England itafika hatua ya fainali katika mashindano ya kombe la Dunia yanayofanyika nchini Urusi kuanzia kesho Juni 14, 2018.