“Hairuhusiwi kubeba adhabu ya mwingine”- Mwigulu Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema si sawa Jeshi la Polisi kumchukulia hatua mtu ambaye si mkosaji kwa kosa la mtu mwingine. Read more about “Hairuhusiwi kubeba adhabu ya mwingine”- Mwigulu