Ofa mpya kwa washiriki wa Bball Kings 2018
Kuelekea msimu mpya wa mashindano ya Sprite Bball Kings yanayoandaliwa na East Africa Television Limited kwa kushirikiana na Kampuni ya Cocacola kupitia kinywaji cha Sprite, watakao kuwa bora huenda wakapata safari ya Marekani.