Nimeumizwa sana vijana hawa- Rais Magufuli

Rais John Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) 11, Askari JWTZ 1 na Dereva waliokuwa wakisafiri kutoka Tabora kwenda Mbeya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kisha kupinduka katika eneo la Mwansekwa, Mjini Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS