Jeshi la Polisi laanzisha operesheni maalum

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limesema linaanzisha operesheni maalum kuanzia leo Juni 14,2018 ya kukamata magari yote yatakayopita katika barabara za mwendokasi yakiwemo magari ya serikali kwa madai wao ndio wamekuwa watu wakubwa wa kuvunja sheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS