Serikali yaahidi kupunguza umasikini Tanzania

Serikali imesema kuwa ina mpango wa kuunganisha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya wananchi ili kuendelea kupunguza umasikini kutoka asilimia 16.7 ya sasa hadi kufikia asilimia 12.7 ifikapo mwaka 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS