Natamani Ngasa arudi yanga - Cannavaro

Aliyekuwa Nahodha wa timu yaTaifa Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye kwa sasa ndio Nahodha wa klabu ya Yanga amefunguka kuwa anatamani kumuona Mrisho Ngasa anarudi kuichezea Yanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS